Kumbe hii ndo sababu ya wabunge kuhama CHADEMA | Spika Ndugai awachana CHADEMA na Mbowe බාගන්න

ඔබේ මිතුරන්ට යවන්න
එකතු කරන්න
 • මංගල දර්ශනය විය 2020 මැයි 2

 • Facebook: https://www.facebook.com/EARadio/ Twitter: https://twitter.com/earadiofm Subscribes: https://www.youtube.com/channel/UClYL...

අදහස්

 • Isaya Laizer
  Isaya Laizer මාස 4කට පෙර

  Chadema hakuna Kiongozi yule ni mpiga dili tuu...viva Ccm viva JPM

 • baden bensoni
  baden bensoni මාස 4කට පෙර

  Mi nadhani Mbowe alipaswa kutoa ushauri kwa anayetaka kususia na sio kuamuru. Maana kila kiumbe kina utashi

 • Zach Maselle
  Zach Maselle මාස 4කට පෙර

  Kawaida usipofanya kazi haulipwi ina maana haulipwi.

 • Sylvester Charles
  Sylvester Charles මාස 4කට පෙර

  Leo nimekuelewa sana Mr Ndugai, kumbe huwa wanakuvuruga tu ila kisiasa umekomaa kweli na una hekima kweli. Waacheni wasuse sisi watanzania wala hatuna homa nao.

 • GIHON NEEDY
  GIHON NEEDY මාස 4කට පෙර

  Rais tunakupenda Baba..tunakuombea na viongozi wote...tutashinda Tz

 • Ernest Tomas
  Ernest Tomas මාස 4කට පෙර

  Mbowe hana serikali hivyo huwezi kutaka kama anavyotaka yeye,na atazidi kukimbiwa mpaka basi

 • Nzeimana Yunus
  Nzeimana Yunus මාස 4කට පෙර

  Ukweli Mh.spika leo nmekuelewa saaaana.

 • Kudra Ahmad
  Kudra Ahmad මාස 4කට පෙර

  Hawa chadema tutawapiga chin kwenye uchaguz mpaka waishe. Hatutak watu wanaomba kuwa wabunge alafu wanakimbia

 • DHULFIQAAR Ally
  DHULFIQAAR Ally මාස 4කට පෙර

  Leo umeongea mainly point big up spika

 • Juma Nguya
  Juma Nguya මාස 4කට පෙර

  Ila mbowe tumekuchoka jamanii.. Hivi hajijuiii

 • mpeli enock
  mpeli enock මාස 4කට පෙර

  Hekima huongoza.

 • Millenium Springs
  Millenium Springs මාස 4කට පෙර

  Ila safari hii, huyu ndg (mbowe), jitihada zake za kutafuta ikulu, naona si za kawaida! Lakini sasa Ikulu haitafutwi hivyo!!!

 • Agape Mwasomola
  Agape Mwasomola මාස 4කට පෙර

  Rais Magufuli ni kiongozi bora,na ubora wake ndio unaowasumbua Upizani

 • COSMAS DAUD
  COSMAS DAUD මාස 4කට පෙර

  Upinzani huwa awakosi sababu ukifanya hiv wanakuja hiv

 • Chesco Mwakipese
  Chesco Mwakipese මාස 4කට පෙර

  Upinzan wapuuz sana kilakitu siasa tu

 • Ngome tv Arusha
  Ngome tv Arusha මාස 4කට පෙර

  Chadema wamekuwa na muhemuko na kilichoko ndani yao wala siyo nia njema nikujaribu kuwaweka watanzani Rais hana huruma mbowe anataka tumwone kama yeye ndye anayetupenda mbowe aache ubabe

 • DEEJAY KATONDO &STUDIO Master DJ in town
  DEEJAY KATONDO &STUDIO Master DJ in town මාස 4කට පෙර

  Like ziende kwa ndugai pia Dada yetu maana wameongea kwa busara zahali yajuu mno

 • Amos Lufunga
  Amos Lufunga මාස 4කට පෙර

  Nikwer kabisa uongozi niustarabu

 • JAPHET IKONGO
  JAPHET IKONGO මාස 4කට පෙර

  Ndiyo Africa yetu UBINAFSI.....

 • Tatu Tatu1
  Tatu Tatu1 මාස 4කට පෙර

  Leo hii nimekuelewa sana spika ndugai MUNGU akubaliki sana mbowe ni vumbi la wazunguu kila kitu yeye anajuwa