KIJANA MTANZANIA ALIYEBUNI SILAHA YA CORONA, AMLILIA RAIS MAGUFULI | PART 1 බාගන්න

ඔබේ මිතුරන්ට යවන්න
එකතු කරන්න
 • මංගල දර්ශනය විය 2020 මැයි 9

 • KIJANA MTANZANIA ALIYEBUNI SILAHA YA CORONA, AMLILIA RAIS MAGUFULI | PART 1 Kijana Gadios Mangana,Mtanzania wa kwanza Afrika Mashariki kutengeza Trivets za kuvaa mitungi yote ya Gesi, Hivi karibuni amebuni Machine maalumu inayotumika kunyunyiza dawa kupambana na virusi vya corona. Kupitia Global TV Amepaza sauti yake kuomba Rais Magufuli amsaidie ili atoe mchango wa talanta kubwa ya ubunifu kwa Taifa. Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 iOS:https://apple.co/38HjiCx VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvo... JE, NA WEWE UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com OUR PLAYLIST: HABARI MPYA DAILY: http:shorturl.at/lNOZ2 HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

අදහස්

 • AJHEEM CLASSICAL TV
  AJHEEM CLASSICAL TV මාස 4කට පෙර

  Nani ameona MADE IN TANZANIA

 • zeinabu ali
  zeinabu ali මාස 4කට පෙර

  Watanzania ndio wakaitwa wabongo yani wana tumia bongo sana hongera TANZANIA💪

 • Abu Juhaifah
  Abu Juhaifah මාස 4කට පෙර

  Mm naona kuja kwa korona afrika nahis ni kuja kuakomboa Waafrika kutokana na utumwa wa wazungu heb nipeni laik kama nimenena sawa plz

 • Richard Kaswalala
  Richard Kaswalala මාස 4කට පෙර

  Hapo wazungu lazima waumie sana.Mungu ni mwema upande wetu

 • Raya Ali
  Raya Ali මාස 4කට පෙර

  HONGERENIIIII NNAWAPA PONGEZIII HIYO NDIO TANZANIAAA JAMANIII WAUMINI WA DINI WAJITAHIDI KUNUNUWA MACHINE HIZOO KWA KUWEKA NYUMBA ZA IBADA KWA KUENDELEZA IBADA KWA KUMUOMBA MUNGU KWA PAMOJAA MMUNGU HAMNYIMI MJA WAKE MMUNGU ATASIMAMA NA NYIEEE INSHAALLAAH

 • Patrick Muhangi
  Patrick Muhangi මාස 4කට පෙර

  Nimemwamini bro bila hata kumwona, Rais wetu Jpm Siyo mjinga, Lazima atumie kipaji hiki

 • Seth olivier
  Seth olivier මාස 4කට පෙර

  " MADE IN TANZANIA " no more " made in China " jamani watanzania munaanza kunikosha mjue 😊😹

 • Sayuni Sayuni
  Sayuni Sayuni මාස 4කට පෙර

  Ongera Tanzania hii ndiyo sura halisi ya MUNGU Baba ndani ya watanzania wabunifu tunaweza

 • Anna Chales
  Anna Chales මාස 4කට පෙර

  Aiseeee hongereni sanaaaa. Duh! Full maubunifu.

 • OMARY BUKUKU
  OMARY BUKUKU මාස 4කට පෙර

  Jamani huyu ni Mtanzania katenda, tutamuunga mkono yeye na team yake! Sitaki vitu kutoka ng'ambo kwani havijawahi kusalama!

 • Sauda Kibanda
  Sauda Kibanda මාස 4කට පෙර

  Hongera mtanzania mwenzang twakuombea mungu ili rais akusikilize

 • Oscar Mtavangu
  Oscar Mtavangu මාස 4කට පෙර

  Mimi kwa upande wangu naona iko vizuri na ufanisi wa hali ya juu, sina la kuongeza, hongereni, na hilo wazo la external resevior ni zuri sana.

 • Rose Kadanga
  Rose Kadanga මාස 4කට පෙර

  Atutaki wachina tena

 • Wema Manikana
  Wema Manikana මාස 4කට පෙර

  Raisi akiliona hili, utakuwa msaada kwetu

 • Doris Julius
  Doris Julius මාස 4කට පෙර

  Ee mungu asante kwa kijana huyu tumtumie huyu huyu.

 • Khalifa _wayy
  Khalifa _wayy මාස 4කට පෙර

  Bora msitegemee vya kigeni

 • Moh'd Kombo
  Moh'd Kombo මාස 4කට පෙර

  Nimelike this verry so much👌💚💚💚💚💚💚💚❤

 • Hamdan Hamdan
  Hamdan Hamdan මාස 4කට පෙර

  Serekali iwasaidie Hawa hizi mashine zitauzika dunia nzima. Hapa ndio tutajua Kama hi serekali ni ya viwanda kweli.

 • Papa Mobimba
  Papa Mobimba මාස 4කට පෙර

  Hongera make Africa great

 • Azaria Mwanga
  Azaria Mwanga මාස 4කට පෙර

  Make our mother Africa Great again. Yes. We can.